Maeneo yaliyohifadhiwa
MAENEO YA BAHARI YANAYOHIFADHIWA NA MPRU
Hivi sasa, kuna Maeneo Tengefu ya Bahari 18 ambayo yanadhibitiwa na Serikali ya Tanzania kupitia Kitengo cha Hifadhi za Bahari. Maeneo haya ni pamoja na Hifadhi tatu (3) za Bahari ambazo ni; Hifadhi ya Bahari ya Kisiwa cha Mafia, Hifadhi ya Bahari ya Mnazi Bay Ruvuma na Hifadhi ya Bahari ya Tanga Silikanti. Pia, inajumuisha mifumo mitano ya Hifadhi za Baharini iliyoko Dar es Salaam inayojulikana kama mfumo wa Hifadhi ya Bahari ya Dar es Salaam - DMRs, Mfumo wa Hifadhi za Baharini tatu za Mafia - MMRs na mifumo mitano ya Hifadhi ya Bahari ya Tanga - TMRs.
MAENEO YA BAHARI YALIYOHIFADHIWA:
No |
HIFADHI BAHARI |
KATEGORIA |
ENEO(km²) |
TANGAZO LA SERIKALI(MWAKA) |
MAKAZI YA IKOLOJIA |
1.0 |
Kisiwa Cha Mafia |
Hifadhi |
822 |
1995 |
Mikoko, Pwani, Nyasi za Bahari, Miamba ya Matumbawe |
A.0 |
Eneo Tengefu La Mafia |
21 |
|
Mikoko, Msitu wa Pwani usio wa Mikoko, Ufuo, Nyasi za Bahari, Miamba ya Matumbawe | |
A.1 |
Kisiwa Cha Shungimbili |
Eneo Tengefu |
4.2 |
2007 |
|
A.2 |
Kisiwa Cha Nyororo |
Eneo Tengefu |
1.3 |
2007 |
|
A.3 |
Kisiwa Cha Mbarakuni |
Eneo Tengefu |
3.8 |
2007 |
|
2.0 |
Hifadhi ya Bahari ya Mnazi Bay Ruvuma Estuary |
Hifadhi |
650 |
2000 |
Mikoko, Pwani, Nyasi za Bahari, Miamba ya Matumbawe |